Ufafanuzi wa tononoka katika Kiswahili

tononoka

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na hali nzuri kwa sababu ya mafanikio fulani.

Matamshi

tononoka

/tɔnɔnɔka/