Ufafanuzi wa tonya katika Kiswahili

tonya

kitenzi elekezi

  • 1

    ambia mtu jambo la siri ili kumuepusha na kitu k.v. janga au tukio lolote baya.

Matamshi

tonya

/tɔɲa/