Ufafanuzi wa topea katika Kiswahili

topea

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha

  • 1

    didimia kwa kukanyaga mahali penye tope.

  • 2

    ingia au fahamu jambo kupita kiwango cha kawaida.

    bobea, tabahari

Matamshi

topea

/tɔpɛja/