Ufafanuzi wa topozi katika Kiswahili

topozi

nominoPlural matopozi

  • 1

    kitu kinachotumiwa ili kuponya ugonjwa au kutoa sumu katika mwili.

Matamshi

topozi

/tɔpɔzi/