Ufafanuzi wa torosha katika Kiswahili

torosha

kitenzi elekezi

  • 1

    chukua msichana au mke wa mtu na kwenda naye sehemu fulani.

  • 2

    toa mfungwa gerezani au mtu anayetafutwa kwa kificho na kumpeleka pasipojulikana.

Matamshi

torosha

/tɔrɔ∫a/