Ufafanuzi wa tota katika Kiswahili

tota

kitenzi sielekezi

  • 1

    ingiwa na kiowevu kwa wingi k.v. maji au mafuta.

    ‘Nimetota kwa mvua’
    ‘Karatasi zimetota kwa mafuta’
    lowa, tosa

Matamshi

tota

/tɔta/