Ufafanuzi wa totova katika Kiswahili

totova

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa katika hali ya kutojimudu kufanya jambo k.v. kusema au kulia baada ya kufikwa na jambo.

Matamshi

totova

/tɔtɔva/