Ufafanuzi wa totovu katika Kiswahili

totovu

nominoPlural totovu

  • 1

    samaki wa jamii ya bungu ambaye akiguswa huvimba.

Matamshi

totovu

/tɔtɔvu/