Ufafanuzi wa towea katika Kiswahili

towea

kitenzi elekezi~lea, ~leka, ~lewa, ~za

  • 1

    tumia kitu k.v. mboga, nyama, samaki, n.k. pamoja na chakula kizito k.v. ugali, wali, mkate, ndizi au muhogo.

Matamshi

towea

/tɔwɛja/