Ufafanuzi wa transfoma katika Kiswahili

transfoma

nominoPlural transfoma

  • 1

    kifaa cha umeme chenye kazi ya kubadilisha nguvu ya umeme ili itoke kadiri inavyotakiwa.

Asili

Kng

Matamshi

transfoma

/transfɔma/