Ufafanuzi wa trekta katika Kiswahili

trekta

nomino

  • 1

    chombo kinachofanana na gari ambacho hutumika kukokota vitu k.v. trela au plau wakati wa kulima.

Asili

Kng

Matamshi

trekta

/trɛkta/