Ufafanuzi wa tui katika Kiswahili

tui

nominoPlural tui, Plural matui

  • 1

    maji meupe yanayotokana na mchujo wa nazi iliyokunwa.

Matamshi

tui

/tuwi/