Ufafanuzi wa tuktuk katika Kiswahili

tuktuk

nominoPlural tuktuk

  • 1

    pikipiki ya magurudumu matatu ya kubebea abiria au mizigo; bajaji.

Asili

Kng

Matamshi

tuktuk

/tuktuk/