Ufafanuzi wa tukuka katika Kiswahili

tukuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa tukufu.

Matamshi

tukuka

/tukuka/