Ufafanuzi msingi wa tukuta katika Kiswahili

: tukuta1tukuta2

tukuta1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

Matamshi

tukuta

/tukuta/

Ufafanuzi msingi wa tukuta katika Kiswahili

: tukuta1tukuta2

tukuta2

kitenzi sielekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    kosa kutulia.

    ‘Mtoto huyu anatukuta, hatulii mahali pamoja’

Matamshi

tukuta

/tukuta/