Ufafanuzi wa tuliza katika Kiswahili

tuliza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    komesha kelele, ghasia, fujo, n.k..

    pomoa

  • 2

    punguza ukali wa maumivu.

    poza

Matamshi

tuliza

/tuliza/