Ufafanuzi wa tulizana katika Kiswahili

tulizana

kitenzi sielekezi

  • 1

    kaa kimya bila kelele, fujo au matatizo.

Matamshi

tulizana

/tulizana/