Ufafanuzi msingi wa tumba katika Kiswahili

: tumba1tumba2tumba3tumba4

tumba1

nominoPlural matumba, Plural tumba

 • 1

  punje ya nafaka au mbegu ya tunda.

  ‘Tumba ya mhindi’
  ‘Tumba ya chungwa’

Matamshi

tumba

/tumba/

Ufafanuzi msingi wa tumba katika Kiswahili

: tumba1tumba2tumba3tumba4

tumba2

nominoPlural matumba, Plural tumba

 • 1

  ua lililofumba kabla ya kuchanua.

  ‘Tumba la ua’
  fumbu, jicho

Matamshi

tumba

/tumba/

Ufafanuzi msingi wa tumba katika Kiswahili

: tumba1tumba2tumba3tumba4

tumba3

nominoPlural matumba, Plural tumba

 • 1

  duara ya nuru inayozunguka mwezi; kitanga cha mwezi.

Matamshi

tumba

/tumba/

Ufafanuzi msingi wa tumba katika Kiswahili

: tumba1tumba2tumba3tumba4

tumba4

nominoPlural matumba, Plural tumba

 • 1

  ngoma ndogo ya kushika mikononi inayopigwa na mwanamuziki katika bendi ya dansi.

Matamshi

tumba

/tumba/