Ufafanuzi wa tumbi katika Kiswahili

tumbi

nominoPlural tumbi

  • 1

    mfuko mpana ulio bapa unaotengenezwa kwa kili za miyaa, agh. hutumiwa na wavuvi kutilia samaki.

    ‘Samaki wa leo hawakujaa tumbi’
    ‘Ameniletea maembe tumbi nzima’

Matamshi

tumbi

/tumbi/