Ufafanuzi wa tumbiri katika Kiswahili

tumbiri

nominoPlural tumbiri

  • 1

    mnyama mdogo jamii ya nyani, mwenye rangi ya kijivu nyepesi au manjano na nyeupe tumboni, miguuni na kifuani, mkia mrefu, uso mweusi, baka jekundu matakoni na hasua za buluu.

    ngedere

Matamshi

tumbiri

/tumbiri/