Ufafanuzi wa tumbukia katika Kiswahili

tumbukia

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~za

  • 1

    angukia kwenye shimo au maji.

    ‘Tumbukia mtoni’
    ingia

  • 2

    ingia matatani.

Matamshi

tumbukia

/tumbukija/