Ufafanuzi msingi wa tume katika Kiswahili

: tume1tume2

tume1

nominoPlural tume

 • 1

  kikundi cha watu wanaopewa madaraka ya kutekeleza, kuchunguza au kuendesha kazi fulani kwa niaba ya kiongozi.

  ‘Tume ya uchunguzi’
  ‘Tume ya uchaguzi’
  kamisheni

Matamshi

tume

/tumɛ/

Ufafanuzi msingi wa tume katika Kiswahili

: tume1tume2

tume2

nominoPlural tume

 • 1

  hali ya mtu kuwa na wasiwasi na mtu mwingine kwa kufikiria kuwa anaweza kumdhuru.

Matamshi

tume

/tumɛ/