Ufafanuzi wa tuna katika Kiswahili

tuna

kitenzi sielekezi

  • 1

    jaa k.v. kwa hasira, ugonjwa au pumzi.

  • 2

    fura, vimba, futuka

Matamshi

tuna

/tuna/