Ufafanuzi msingi wa tunda katika Kiswahili

: tunda1tunda2

tunda1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    chuma kitu k.v. matunda au majani kutoka kwenye tawi la mti.

Matamshi

tunda

/tunda/

Ufafanuzi msingi wa tunda katika Kiswahili

: tunda1tunda2

tunda2

nominoPlural matunda

  • 1

    zao la mmea linalohifadhi mbegu ambalo hutokana na ua.

Matamshi

tunda

/tunda/