Ufafanuzi wa tundiza katika Kiswahili

tundiza

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    weka kitu kidogokidogo ili kiwe kingi baada ya muda fulani.

    dundiza

Matamshi

tundiza

/tundiza/