Ufafanuzi wa tunduwaa katika Kiswahili

tunduwaa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha

  • 1

    kaa kimya bila ya kufanya jambo k.v. mtu anapofikiri sana au anapoona jambo la kushangaza.

    ajabia, shangaa, duwaa

Matamshi

tunduwaa

/tunduwa:/