Ufafanuzi wa tungi katika Kiswahili

tungi

nominoPlural matungi

  • 1

    chombo cha kioo chenye umbo la duara na uwazi chini na juu kinachotumiwa katika taa k.v. ya karabai au kandili.

    chemni

Matamshi

tungi

/tungi/