Ufafanuzi msingi wa tunza katika Kiswahili

: tunza1tunza2

tunza1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  weka chini ya uangalizi ili kisiharibike au kisidhurike.

  hifadhi, angalia, linda, dhibiti, hami, chunga, lea

Ufafanuzi msingi wa tunza katika Kiswahili

: tunza1tunza2

tunza2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  -pa zawadi mtu baada ya kufanya jambo vizuri k.v. kucheza ngoma, kuimba, n.k..

  methali ‘Mcheza kwao hutunzwa’
  tuza

Matamshi

tunza

/tunza/