Ufafanuzi wa tunzo katika Kiswahili

tunzo

nomino

  • 1

    kitu kinachotolewa kuwa ni zawadi anayopewa mtu baada ya kufanya jambo zuri; hadia, tuzo.

  • 2

    fichuo, uvumbuzi

Asili

Kar

Matamshi

tunzo

/tunzÉ”/