Ufafanuzi wa Tupa jicho katika Kiswahili

Tupa jicho

nahau

  • 1

    tazama mara moja na kwa haraka; angalia.

Ufafanuzi wa tupa jicho katika Kiswahili

tupa jicho

nahau

  • 1

    angalia mara moja na kwa haraka.