Ufafanuzi wa turubali katika Kiswahili

turubali, turubai

nominoPlural maturubali

  • 1

    kitambaa aina ya kitani kilicho kizito na kigumu ambacho hutumiwa kwa kujengea mahema na kufunikia bidhaa ili zisitote.

    durufu

Asili

Kar

Matamshi

turubali

/turubali/