Ufafanuzi msingi wa tusi katika Kiswahili

: tusi1tusi2tusi3

tusi1

nomino

 • 1

  neno chafu la kumuudhi mtu.

  tayo, tukano

Matamshi

tusi

/tusi/

Ufafanuzi msingi wa tusi katika Kiswahili

: tusi1tusi2tusi3

tusi2

kitenzi elekezi

 • 1

  toa maneno machafu ya kumuudhi mtu.

  tukana, chamba, shambulia, subu, taya, sibabi

Matamshi

tusi

/tusi/

Ufafanuzi msingi wa tusi katika Kiswahili

: tusi1tusi2tusi3

tusi3

nomino

 • 1

  kilili maalumu cha kuchukulia maiti kumpeleka kaburini.

  jeneza, kitanda

Matamshi

tusi

/tusi/