Ufafanuzi wa tusui katika Kiswahili

tusui

nominoPlural tusui

  • 1

    sehemu moja ya kitu kizima kilichogawanywa katika sehemu tisa zilizo sawa.

Matamshi

tusui

/tusuI/