Ufafanuzi msingi wa tuta katika Kiswahili

: tuta1tuta2tuta3tuta4

tuta1

nominoPlural matut.a, Plural tuta

 • 1

  mwinuko kwenye barabara za lami au mchango ambao unazuia magari kupita kwa kasi au kuashiria mwendeshaji gari anakaribia mjini, shule au maeneo wanapoishi watu.

Ufafanuzi msingi wa tuta katika Kiswahili

: tuta1tuta2tuta3tuta4

tuta2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~ana, ~iana, ~iwa, ~wa

 • 1

  beba vitu vizito.

  tutika

 • 2

  chukua kitu bila ya mpango.

  rundika

Ufafanuzi msingi wa tuta katika Kiswahili

: tuta1tuta2tuta3tuta4

tuta3

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~ana, ~iana, ~iwa, ~wa

 • 1

  pumua upesi kutokana na moyo kwenda mbio, hata mapigo ya moyo kusikika.

 • 2

  tutusa

Ufafanuzi msingi wa tuta katika Kiswahili

: tuta1tuta2tuta3tuta4

tuta4

nominoPlural matut.a, Plural tuta

 • 1

  mdudu mwenye mbawa ngumu na tumbo jeusi ambaye huunda na kubiringisha mabonge ya kinyesi.

  dundu

Matamshi

tuta

/tuta/