Ufafanuzi msingi wa tutu katika Kiswahili

: tutu1tutu2tutu3

tutu1

nominoPlural tutu

 • 1

  turuturu ndogo na ngumu, agh. nyeusi, inayojitokeza kwenye mwili.

Matamshi

tutu

/tutu/

Ufafanuzi msingi wa tutu katika Kiswahili

: tutu1tutu2tutu3

tutu2

nominoPlural tutu

 • 1

  ndege jamii ya njiwa, agh. wa rangi ya kijivu.

  fumvu

Matamshi

tutu

/tutu/

Ufafanuzi msingi wa tutu katika Kiswahili

: tutu1tutu2tutu3

tutu3

nominoPlural tutu

 • 1

  kunde zilizochemshwa pamoja na mahindi au mtama na pengine kunyunyizwa nazi iliyokunwa.

Matamshi

tutu

/tutu/