Ufafanuzi wa tutuka katika Kiswahili

tutuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    vimba k.v. ngozi inapotoa turuturu.

    duduika

Matamshi

tutuka

/tutuka/