Ufafanuzi wa tutumua katika Kiswahili

tutumua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liwa, ~sha, ~za

  • 1

    fanya kitu kivimbe.

Matamshi

tutumua

/tutumuwa/