Ufafanuzi wa tutuo katika Kiswahili

tutuo

nominoPlural matutuo

  • 1

    hali ya kutokuwa na subira.

    pupa

Matamshi

tutuo

/tutuwɔ/