Ufafanuzi msingi wa tutusa katika Kiswahili

: tutusa1tutusa2

tutusa1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    pigapiga, hasa kwa mapigo ya moyo.

  • 2

    tuta, tuturisha

Matamshi

tutusa

/tutusa/

Ufafanuzi msingi wa tutusa katika Kiswahili

: tutusa1tutusa2

tutusa2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda kwa kupapasapapasa k.v. afanyavyo kipofu au mtu aliye gizani.

Matamshi

tutusa

/tutusa/