Ufafanuzi wa tweta katika Kiswahili

tweta

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    vuta pumzi kwa shida kwa sababu ya kuchoka au wakati wa kukaribia kufa.

    ‘Hajakata roho bado, angali anatweta’
    ‘Farasi anatweta’
    bweta, pwita, hema, puma, kukuta

Matamshi

tweta

/twɛta/