Ufafanuzi wa tyubu katika Kiswahili

tyubu

nominoPlural tyubu

  • 1

    mpira wa ndani wa gurudumu la k.v. baiskeli, pikipiki au gari, unaojazwa hewa.

Asili

Kng

Matamshi

tyubu

/tjubu/