Ufafanuzi wa uagizaji katika Kiswahili

uagizaji

nomino

  • 1

    kazi ya kuagiza.

    ‘Nashughulika na uagizaji bidhaa nchi za nje’

  • 2

    namna ya kuagiza.

    ‘Uagizaji wao si mzuri’

Matamshi

uagizaji

/uagizaŹ„i/