Ufafanuzi wa uaguzi katika Kiswahili

uaguzi

nominoPlural uaguzi

  • 1

    namna ya kubashiri mambo yatakayokuja au kutafsiri ndoto au ishara.

  • 2

    namna ya utoaji huduma, agh. ya dawa.

  • 3

    namna ya kutegua na kugangua uchawi.

Matamshi

uaguzi

/uaguzi/