Ufafanuzi wa uakiaji katika Kiswahili

uakiaji

nominoPlural uakiaji

  • 1

    namna ya kumeza chakula bila ya kutafuna.

    ‘Uakiaji wake si mzuri’

Matamshi

uakiaji

/uakijaʄi/