Ufafanuzi wa uakida katika Kiswahili

uakida

nominoPlural uakida

  • 1

    cheo cha mkuu wa jeshi wakati wa ukoloni wa Wajerumani.

  • 2

    cheo cha msaidizi rasmi wa mkuu wa wilaya katika Afrika Mashariki wakati wa utawala wa Wajerumani.

  • 3

    cheo cha mkuu katika mambo ya utamaduni katika jamii maalumu za Waswahili.

Asili

Kar

Matamshi

uakida

/uakida/