Ufafanuzi wa uakuaji katika Kiswahili

uakuaji

nominoPlural uakuaji

  • 1

    namna ya ukamataji au unyakuaji kwa ghafla.

Matamshi

uakuaji

/uakuwaʄi/