Ufafanuzi msingi wa ualikaji katika Kiswahili

: ualikaji1ualikaji2

ualikaji1

nominoPlural ualikaji

  • 1

    sauti kama ile ya kitu kivunjikacho au kidoko kinachofanywa na ulimi.

    waliko, mwaliko

Matamshi

ualikaji

/ualikaʄi/

Ufafanuzi msingi wa ualikaji katika Kiswahili

: ualikaji1ualikaji2

ualikaji2

nominoPlural ualikaji

  • 1

    utoaji wa mwaliko wa kuwataka watu wahudhurie jambo fulani.

    mwaliko

Matamshi

ualikaji

/ualikaʄi/