Ufafanuzi wa uambatanisho katika Kiswahili

uambatanisho

nomino

  • 1

    hali ya kuandamana au kufuatana kwa watu au vitu.

Matamshi

uambatanisho

/uambatani∫ɔ/