Ufafanuzi wa uamuzi katika Kiswahili

uamuzi

nominoPlural uamuzi

  • 1

    makubaliano au mapatano yaliyopitishwa k.v. katika mkutano ili kutekeleza jambo fulani.

Matamshi

uamuzi

/uwamuzi/