Ufafanuzi wa uanaanga katika Kiswahili

uanaanga

nomino

  • 1

    elimu ya utafiti wa anga.

  • 2

    kazi ya kufanya utafiti wa anga.

Matamshi

uanaanga

/uwana anga/